Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

WAKUU NAONGEA KWA HERUFI KUBWA MNIELEWE NINA SHIDA NA ETS 2 SETUP AU KEY MAANA NIMEDOWNLOAD ETS 2 VERSION 1.38 LAKINI NA PLAY DEMO LINA NIDAI ACTIVATION KEY
 
WAKUU NAONGEA KWA HERUFI KUBWA MNIELEWE NINA SHIDA NA ETS 2 SETUP AU KEY MAANA NIMEDOWNLOAD ETS 2 VERSION 1.38 LAKINI NA PLAY DEMO LINA NIDAI ACTIVATION KEY
Download repack 1.40 Iberia ambayo aiitaji activation
 
Inamiji mingap na ni stand loan map
miji ni mitatu tu
barabara ina jumla ya km 3200
pia hii ni stand alone map so you need to create new profile then actvate pjk,
in playng module utaona katashime mbd

chagua scania or volvo truck
 
Naomba msaada jaman nlirusha game la mpila fifa2021 ila nmeshndwa kabisa kulifungua kunabaadhi ya setting nmeshndwa kuzifanya🙏🙏🙏
 

Haya Mega Andes hiyo...kazi kwenu
 
nili install mod ya gari dogo lakini naona huwez kuwa na mission za kupata hela zaidi ya kuzurura mitaani. Je Niki install mod ya bus nnaweza kupata mishe ya ku make money
Kwani izi game ukizicheza mwisho wa siku unapata hela kumbe
 

Haya Mega Andes hiyo...kazi kwenu
hee!! hawa jamaa si ndo team puno peru na
hii ndo ile ramani ya kipindi kile iliyokuwa na bug nyingi yaani ulikuwa huwezi kuvuka upande wa pili au hii ni nyingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…