Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poa poa sie tuko zetu huku 1.41.Ndo hawa wakina peru..hii ni 1.40 hop iko sawa kila kona
ya mwaka gani hii?
Mkuu check Horse power DAF kampita Volvo na Scania?
DAF ni moto mwingine kwangu nimepita harsh russian hiyo njia ina matuta matuta si mchezo ...nawezaje kupata AIR HORN MOD version 1.36Mkuu check Horse power DAF kampita Volvo na Scania?
mkuu kuhusu horse power?Mkuu check Horse power DAF kampita Volvo na Scania?
1.40 ina gb ngap wakuu
Naomben link
@kata shime officiar @kcamp
Haisumbui..Ahsante mkuu
Vip haisumbui ku install mkuu
Haisumbui..
kumbuka tu ku tick sehem ya RAM Limitation kama PC yako ina chini ya RAM 4Gb.
Basi usi tick kweny kipengele Cha RAM...Ina 4 mkuu
Watu wanapenda muungurumo wa gali, pia Renault ni habari nyingine mzee inaunguruma vzr sn.mkuu kuhusu horse power?
scania na volvo bado hawajapata wapinzani hivyo huwezi linganisha DAF na scania au volvo, kwenye suala la power ila kwa sasa kuna competition inaendelea kuhusu truck gani inayopendwa na madereva wa ets2 ,
cha ajabu naona DAF anaongoza sijaelewa mpaka sasa hivi ni kigezo gani kinatumika.
pia unaweza kupita mwenyewe ujionee kwenye hii website.
![]()
Best ETS2 Truck? - StrawPoll
What is your opinion? Vote now: DAF XF105, DAF XF, DAF XG/XG+ 2021, Iveco Stralis, Iveco Stralis Hi-Way, MAN TGX, MAN TGX Euro 6, Mercedes-Benz Actros, Mercedes-Benz New Actros, Renastrawpoll.com