Jmaa zangu kuna pc hapa
Ni hp yakizamani kidogo
Ina 2gb Ram na hdd 400
Ila uki install game inaingia ila ukifungua inasema steam stopes
Nkajalib kuifuta kama wanavyoelekeza youtube bado imegoma sasa sijui issue n graphics au aje
Naomba msaada
[mention]kcamp [/mention] [mention]kata shime officiar [/mention] na wengineo
Mkuu 2gb ram kwa ets2 saiz ni uongo..hata graphic hapo kipengele[mention]kcamp [/mention]
Mkuu 2gb ram kwa ets2 saiz ni uongo..hata graphic hapo kipengele
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Hii Map PBI ni ngumu balaa na ukitumbukia kolongoni haitaki kuload save file inataka uende service unaanza mwanzo
Emmi ninayo nilicheza mara 1...PBI tumia save profile.. sema nayo.ukila mzinga ukaanze na moja hakuna garage karbu...yani ukisinzia tu upo mabondeni [emoji1787]Hii Map PBI ni ngumu balaa na ukitumbukia kolongoni haitaki kuload save file inataka uende service unaanza mwanzo
ukiload save inacrash nimeachana nayo
ile map EXTREME bxt ina mlolongo mrefu kuipata
ila nimeshusha Map EMMI iko vizuri sana
haha, mkuu nsave hiyo link ya mod[emoji41][emoji106]View attachment 1966056
[emoji1787][emoji41][emoji106]View attachment 1966056
[emoji41][emoji106]View attachment 1966056
Hahahahahaaa, ila nimependa mazingira yake kama halisia vile aisee, zile nyumba unaweza sema ni nyumba kabisa na co game, by the way naona attention ya mleta picha iko kwengine kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji41][emoji106]View attachment 1966056
Haahaah!! nambie sehemu gani iliyokupendeza then tupia kapicha ili kazi iendelee.Hahahahahaaa, ila nimependa mazingira yake kama halisia vile aisee, zile nyumba unaweza sema ni nyumba kabisa na co game, by the way naona attention ya mleta picha iko kwengine kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
1337x.toJaman naomben link ya 1.41
Game version
Hii mod umeitengeneza wewe mkuu?Haahaah!! nambie sehemu gani iliyokupendeza then tupia kapicha ili kazi iendelee.
Pia ushauli unahitajika kipi niongeze au kipi nipunguze.
Huwa nashindwa kuelewa mkuu kwamba kama tunaweza kufanya mambo makubwa kama haya tunasubiri nn na cc kubuni game yetu itakayoiwakilisha Tz kimataifa.Yap au hauamini?