Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Jmaa zangu kuna pc hapa
Ni hp yakizamani kidogo
Ina 2gb Ram na hdd 400
Ila uki install game inaingia ila ukifungua inasema steam stopes
Nkajalib kuifuta kama wanavyoelekeza youtube bado imegoma sasa sijui issue n graphics au aje
Naomba msaada
[mention]kcamp [/mention] [mention]kata shime officiar [/mention] na wengineo

[mention]kcamp [/mention]
 
Hebu jarbu...

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Hii Map PBI ni ngumu balaa na ukitumbukia kolongoni haitaki kuload save file inataka uende service unaanza mwanzo
ukiload save inacrash nimeachana nayo
ile map EXTREME bxt ina mlolongo mrefu kuipata
ila nimeshusha Map EMMI iko vizuri sana
 
Emmi ninayo nilicheza mara 1...PBI tumia save profile.. sema nayo.ukila mzinga ukaanze na moja hakuna garage karbu...yani ukisinzia tu upo mabondeni [emoji1787]

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
[emoji41][emoji106]
ETS_1.36_53G73358870.jpg
 
wanangu
hdd yangu ilikufa ,hapa nnavyoongea sina kituu yan pc mpyaaaaaa, kwahyo naomben latest game link kcamp
 
Hahahahahaaa, ila nimependa mazingira yake kama halisia vile aisee, zile nyumba unaweza sema ni nyumba kabisa na co game, by the way naona attention ya mleta picha iko kwengine kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Haahaah!! nambie sehemu gani iliyokupendeza then tupia kapicha ili kazi iendelee.
Pia ushauli unahitajika kipi niongeze au kipi nipunguze.
 
Back
Top Bottom