😱
Hahah dah free account wanruhusu 2gb tu zaid ya hapo ulipie au usubir Masaa yao,,ila kuna njis moja ya ku bypass limitations,ngoja niweke link hapa iwasaidie wengine ambao hawajaanzaDah kaka hi ya leo n shida mkuu
Unajua binafsi sikuwah ku downlod hi game kawaida
Mala zote hua ntumia torrents ile
Sas hi ya leo had nmeamua kuachana nayo
Kwanza ikiwa ipo 44% wakasema lazima u apdate ile web yao uilipie ndio iendelee au nisubiri masaa 6 yapite dah
Haya nime mirror link ya mega kweny direct link hii
Pakua 1.43 bila limitations..
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
We si una resume tu .mana uliashaanza kupakuaNgoj ntafute 10000 nyingine mkuu
Utaendelea na ile ile,hii ni mpya kwaiyo ukitumia hii ujiandae.kuanza na moja..sema hii haina limit unapakua zako kwa IDMAh mkuu ile si ndio ile ambayo ilianzia kwenye limitation
Itaendelea na hi yakawaida kweli?
Na pc nlishawasha na kuzima mala kadhaa
Maan hua mchakato nliufanya j2 had leo?
Utaendelea na ile ile,hii ni mpya kwaiyo ukitumia hii ujiandae.kuanza na moja..sema hii haina limit unapakua zako kwa IDM
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Internet download managerKaka idm n nn? Samahani
Hizo zipo slow sana...idm inakimbia mno na ina résumé bila shidaSawa na hizi chrome?
Hizo zipo slow sana...idm inakimbia mno na ina résumé bila shida
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Hizo zipo slow sana...idm inakimbia mno na ina résumé bila shida
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Kaka unazipata hiz banz zina side mirror ya camera