Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
ndiyo mkuu naona umepotea online sana convoy inaendelezwa kama kawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliuza PCndiyo mkuu naona umepotea online sana convoy inaendelezwa kama kawa
wee jamaa hauko serious...😄hujatoshek kuendesha truck unataka na usukume na meli ya mizigo...😂😂😂😂😂Alafu mbona kweny pc humu kama ukipanda meli hakun sehm ya kuendesh mwenyew meli.ila mm kweny cm nilkuwa nal kma ukipnda meli ukiamua unaendesh mwenyw au linatembea lenyew
wee jamaa hauko serious...😄hujatoshek kuendesha truck unataka na usukume na meli ya mizigo...😂😂😂hapna ila lina raha yake sana
Mzee umepewa lift unataka upige hadi hon?[emoji23][emoji23]Alafu mbona kweny pc humu kama ukipanda meli hakun sehm ya kuendesh mwenyew meli.ila mm kweny cm nilkuwa nal kma ukipnda meli ukiamua unaendesh mwenyw au linatembea lenyew
Ngoja watalamu wa online wajeivi wazee nawezaje join kwenye comvoy maaana kila nikijaribu naambiwa session ime exper sasa nashindwa kama kuna mtu ana cheza comvoy anieleweshe basi
Hujatoa hadi sasa?Mi ugonjwa wangu speed limit.....
Ikiweza kutoka Hio.....nakuwaga na vurugu sana road
Aiseee [emoji119][emoji119] naona map kijiji mkuu,yan nmeua keyboard yangu basi sjaendesha nna mwez wa 3 huuda wakati watu wanapambana na stand alone map uku na pambana na kuizunguka dunia ila unajua nini katishime pambana na wewe map yako niikute uku ili nini ata kuinunua nirahisi maana najua nakuja adi bongo maana mm kucheza kwenye ramani ya miji mitano au sita da yani siwezi nataka nilione li map likubwa ndo nifurahi afu cargo za mbali ndo inakuwa unyama sana but nilipambana kusoma tutorial nyingi ndo nikajua jinsi ya kuunganisha izi ramani maana ukikosea moja tuu kila kitu kina haribika either ukose ferry connection au game lako li crash lisiwe lina funguka maana kuna map zinahitaji high priority na nindogo kama project balkans na macedonia rework zinaitaji uangalizi sana but
kama vip #katshime uweke map yako na wewe humu tuendelee kupambana
View attachment 2145624
View attachment 2145627
View attachment 2145628
View attachment 2145629
View attachment 2145630
View attachment 2145631
View attachment 2145632
View attachment 2145634
View attachment 2145635
View attachment 2145636
View attachment 2145637
View attachment 2145638
View attachment 2145639
View attachment 2145640
View attachment 2145641
View attachment 2145643
View attachment 2145644
View attachment 2145647
View attachment 2145648
View attachment 2145650
View attachment 2145652
View attachment 2145653
View attachment 2145654
View attachment 2145655
View attachment 2145656
View attachment 2145657
View attachment 2145658
View attachment 2145659
View attachment 2145660
View attachment 2145661
Mkuu ww kiboko,vp Mario map umeipiga? Mana ile imesheheni miji hadi kuload kipengelenapia huwa natumia zaidi ya GB 50 ku download hizo map na game lenyewe
Bado...mkuu
Bado...mkuu
Nimekuomb link pm
Dadek![]()
5.63 GB file on MEGA
mega.nz
Nake sure una install mega desktop iwe rahis kushusha hilo file bila limit ya siku ..pia uwe na bando zito...
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app