Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Alafu mbona kweny pc humu kama ukipanda meli hakun sehm ya kuendesh mwenyew meli.ila mm kweny cm nilkuwa nal kma ukipnda meli ukiamua unaendesh mwenyw au linatembea lenyew
wee jamaa hauko serious...😄hujatoshek kuendesha truck unataka na usukume na meli ya mizigo...😂😂😂😂😂
 
da wakati watu wanapambana na stand alone map uku na pambana na kuizunguka dunia ila unajua nini katishime pambana na wewe map yako niikute uku ili nini ata kuinunua nirahisi maana najua nakuja adi bongo maana mm kucheza kwenye ramani ya miji mitano au sita da yani siwezi nataka nilione li map likubwa ndo nifurahi afu cargo za mbali ndo inakuwa unyama sana but nilipambana kusoma tutorial nyingi ndo nikajua jinsi ya kuunganisha izi ramani maana ukikosea moja tuu kila kitu kina haribika either ukose ferry connection au game lako li crash lisiwe lina funguka maana kuna map zinahitaji high priority na nindogo kama project balkans na macedonia rework zinaitaji uangalizi sana but
kama vip #katshime uweke map yako na wewe humu tuendelee kupambana



























































 
ivi wazee nawezaje join kwenye comvoy maaana kila nikijaribu naambiwa session ime exper sasa nashindwa kama kuna mtu ana cheza comvoy anieleweshe basi
 
Aiseee [emoji119][emoji119] naona map kijiji mkuu,yan nmeua keyboard yangu basi sjaendesha nna mwez wa 3 huu

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…