Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Kama Bado uko version 1.43 tumia hii link
Sababu hakuna mabadiliko yoyote kuanzia pale nilipositisha kuijenga hiyo ramani.
Wale mlioko 1.43 link yake hii hapa

 
Ram 4 naweza kucheza gemu za call of duty?
Yap unaweza cheza call of duty zifuatazo
1. Modern warfare zote za mwanzo
2. World at war
3. Black ops I n II

Nyongeza; medal of honor 2010
Battlefield 3
Crysis 1 n 2 n 3
Battlefield 1 ila hapa lazina pc
iwe na graphics card kama nvidia
gtx 950m
Sniper Elite 3
Ukimaliza hizo. Tafuta pc yenye uwezo mkubwa zaidi
 
Ahsante bro... Vp kuhusu magem ya pes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…