Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Chuma ya kazi
 
Attachments

  • ets2_20230216_141005_00.png
    ets2_20230216_141005_00.png
    1.2 MB · Views: 35
  • ets2_20230216_104055_00.png
    ets2_20230216_104055_00.png
    1.4 MB · Views: 36
Waku nawasalimu sana nimepotea uku maana nilisafishwa sio poa yani but nitarudi kwa kishindo soon kwa wale wa comb map[emoji290][emoji289]
 
Kweli aisee hukuonekana jamaa yetu lakini karibu uwanja ni wako jimwaye mwaye
 
ndugu wapendwa wa game la ets2 kutoka Tanzania hii ni taarifa kutoka Kwa mwandishi wa ramani ya project katashime.
ningelipenda kuutangazia umma ya kuwa. Kwa mala nyingine tena ile ramani iliyokuwa ukisubuliwa Kwa kipindi kirefu Kwa Sasa ishakamilika Kwa kiasi fulani na Iko tayali Kwa matumizi.

pia napenda kutoa shukrani za dhati Kwa woote mliokuwa mkinipea ushauli wa Nini kifanyike au Nini kiongezeke na kuifanya kazi iende vizuri hakika nawashuku sana.
hakika amani ni kubwa na Ina barabara ndefu sana na sinrahisi Kwa mtu kuanza safari na kuimaliza hapohapo
inasupport murtplayer na single player
pia inahitaji dlc za map ambazo ni
dlc Scandinavia
dlc going east
dlc France
dlc itary
dlc Iberia
dlc black sea
dlc Baltic sea
n.b ramani haiuzwi na itapatikana Bure kabisa kupitia website zote za kudownload mod.
na endapo ukipendezwa na hii kazi iliyofanyika unaweza kuchangia Kwa kiasi chochote Cha pesa ulichojaaliwa kupitia namba 0759016629 na mungu atakubaliki sana.🤝

Link ya map

Save game profile
 
ndugu wapendwa wa game la ets2 kutoka Tanzania hii ni taarifa kutoka Kwa mwandishi wa ramani ya project katashime.
ningelipenda kuutangazia umma ya kuwa. Kwa mala nyingine tena ile ramani iliyokuwa ukisubuliwa Kwa kipindi kirefu Kwa Sasa ishakamilika Kwa kiasi fulani na Iko tayali Kwa matumizi.

pia napenda kutoa shukrani za dhati Kwa woote mliokuwa mkinipea ushauli wa Nini kifanyike au Nini kiongezeke na kuifanya kazi iende vizuri hakika nawashuku sana.
hakika amani ni kubwa na Ina barabara ndefu sana na sinrahisi Kwa mtu kuanza safari na kuimaliza hapohapo
inasupport murtplayer na single player
pia inahitaji dlc za map ambazo ni
dlc Scandinavia
dlc going east
dlc France
dlc itary
dlc Iberia
dlc black sea
dlc Baltic sea
n.b ramani haiuzwi na itapatikana Bure kabisa kupitia website zote za kudownload mod.
na endapo ukipendezwa na hii kazi iliyofanyika unaweza kuchangia Kwa kiasi chochote Cha pesa ulichojaaliwa kupitia namba 0759016629 na mungu atakubaliki sana.[emoji1666]

Link ya map

Save game profile
Hii mod siwez kuweka kwenye ets2 yangu version 1.36?
 
Ni lazima u download link ya map na save game profile au uki download moja tu inatosha.
 
Back
Top Bottom