Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

nimejiunga steam kitambo kidgo becz of account ya world of trucks...Ila naona ni changamoto kidgo ku upload profile yang ya ETS na ATS online (cloud)...Unawez niambia nakwama ku upload kwasababu natumia cracks au ni configurations tuu za network ya PC ninayoitumia etc...Msaada tafadhali
Kama game yako ni crack huwezi upload pictures kwenye world of truck siteila kama game yako ni ya steam unaweza upload pictures kwenye world of truck
 
wakuu,naomba kujua kama hii pc inaweza kucheza version ipi ya ETS2 bila shida

Capture.PNG
 
Niki install ets 2 alafu nikaifungua graphics nimeseti hivi
1. Resolution 1280×720
2. Scaling .100
3. Reflection .low
4. Vegetation .medium
5. Grass.low
6. Shadow.disabled
Napata FPS 30 mpaka 31 smooth inayo ridhisha lakini nikizima PC alafu nikaiwasha tena ili nicheze FPS zinashuka nakuwa napata 24 mpaka 20 sijui shida ni nini ulaini unapungua yaani siinjoy
 
ni nashida na euro truck simulator 2 latest vision ambalo liko activated mwenye kujua naomba anisaidie link ya ku download kama hutojari
 
nimeleta mrejesho baada ya kupewa site ya kuweza ku download game nimefanikiwa kupata vision ya mwisho kabisa v1.49.2 ✅
 

Attachments

  • 20240306_122649.jpg
    20240306_122649.jpg
    1.5 MB · Views: 29
nimeleta mrejesho baada ya kupewa site ya kuweza ku download game nimefanikiwa kupata vision ya mwisho kabisa v1.49.2 ✅
Je una mod ya ramani ya kitanzania.
version 1.49 iliyotengenezwa na mbongo mwenzako?
 
Back
Top Bottom