Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Kama game yako ni crack huwezi upload pictures kwenye world of truck siteila kama game yako ni ya steam unaweza upload pictures kwenye world of truck
 
Niki install ets 2 alafu nikaifungua graphics nimeseti hivi
1. Resolution 1280×720
2. Scaling .100
3. Reflection .low
4. Vegetation .medium
5. Grass.low
6. Shadow.disabled
Napata FPS 30 mpaka 31 smooth inayo ridhisha lakini nikizima PC alafu nikaiwasha tena ili nicheze FPS zinashuka nakuwa napata 24 mpaka 20 sijui shida ni nini ulaini unapungua yaani siinjoy
 
ni nashida na euro truck simulator 2 latest vision ambalo liko activated mwenye kujua naomba anisaidie link ya ku download kama hutojari
 
nimeleta mrejesho baada ya kupewa site ya kuweza ku download game nimefanikiwa kupata vision ya mwisho kabisa v1.49.2 ✅
 

Attachments

  • 20240306_122649.jpg
    1.5 MB · Views: 29
nimeleta mrejesho baada ya kupewa site ya kuweza ku download game nimefanikiwa kupata vision ya mwisho kabisa v1.49.2 ✅
Je una mod ya ramani ya kitanzania.
version 1.49 iliyotengenezwa na mbongo mwenzako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…