Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

nimextracts map ya Peru na kwenye mod manager nimeichagua tayari, kutoka hapo nashindwa pa kuelekea

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukisha chagua puno kweny mod manager save changes kisha kweny playing module fungua hapo na uchague puno mbd...kisha continue tu kaz inakwisha.
 
Maana nikisave mod inanirudisha kwenye Launchpad ili nichague profiles miloyosave niendelee na game

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza tengeneza profile mpya kisha activate peru kweny mod manager kisha playing module ni hii hapa kweny picha ww chagua puno mbd kama unavyoona hapo kisha endelea.
 
Safi mkuu
Ila mbona nikiweka mods za Bus nikija katika kulisaka bus ili nitumie silioni?
Msaada hapo
 
nina american truck, je nikifwata procedures, kuna uwezekano wa kufunction kwenye hii version ??
 
Napenda pc games, naomba mods za euro truck simulator 2 heavy cargo pack 2
 
road train ni mod nzuri sema kwenye shipping ndo tatizo, inatakiwa utumie route isiyohusisha shipping
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…