Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

0997c81f84922f5baa64be6788168f3c.jpg
Ulifanikiwa?
 
kama hutojali mkuu naomba mwongozo wako wa hatua kwa hatu hadi nifanikiwe maana nikifungua hiyo torrent nakosa pa kuanzia chief. msaada wako tafadhari.
Una u torrent?
 
Hapana, kuna error ktk kuinstall ETS2 1.30 angali picha
Hauja skip files yyte pale mwanzon? Kuna files ndogo znabid u download pale mwanzo ...maana yake lazma uwe connected mweny mtandao
 
Once again, ahsante maana niliweza kuinstall na kucheza, kwa mara ya kwanza nilicheza vzr tu, nilikusudia kupakua mods bada ya kununua gari langu.
Shida ninayokabiliana nayo sasa, ni game kuganda sana tena kwa zaidi ya sekunde 10, kiuhalisia linanitoa mood asee.
Weza nisaidia nini cha kufanya chief?
 
punguza mode na setting ziweke za kawaida na pia ukilicheza toa betri ya pc isije ikafa kama yanngu
 
punguza mode na setting ziweke za kawaida na pia ukilicheza toa betri ya pc isije ikafa kama yanngu
Ahsante chief
Kwanza kabisa cjapakua mod yoyote.
Pili, hapo kwenye setting ndo nahitaji mwongozo, maana mara kadhaa nimekwenda pale na nikakosa kitu sahihi cha kufanya ilikulipunguzia mzigo.
Kama hutajali naomba unipeleke hapo hatua kwa hatua.
 
Nenda setting then graphics weka low kwenye game utacheza vyema tu
 
wapi naweza pata cd ya hii ETS 2 au ATS hapa Dar? tafathali coz stream ni ghali kidogo
 
Ninayo hio mkuu v1.30.2, nataka niweze kupata auto updates napia niweze kuifurahia game zaidi
Ooh sawa mkuu..mimi nikisha weka mod bas nafurahia vzur tu
 
Back
Top Bottom