Asanteni sana . Ets 2 napeleka mzigo kama kawaidaView attachment 1226249
Namna hiiSasa Niko ndani ya Brazil na scania s 730 yaan ni laha tupu
ingia Gereji nunua injini hiyo s730hp kuna milima Brazil hupandiSasa Niko ndani ya Brazil na scania s 730 yaan ni laha tupu
Pamoja mkuu, ngoja kwaza ni enjoy ets 2 mpaka levl za 26 hv ndio niende peru na brazilBaado weka ile Mod ya maPoweful engine ingia garage nunua Hp 3400 yenye Open Pipe tafuta na gearbox mbona Streamline inaruka? ni ajali gari zote zinafukuza ni rahatupu ETS,
Duh ilibidi nirudi engine ndogo tu maana Puno Peru ni mieleka tu na kwenye theluji halifai linateleza
nakutakia uendeshaji mwema
Oi wadau Kuna map mpya ya slovakia. VIP iko vizuliView attachment 1227551View attachment 1227552View attachment 1227553
Mhhh hii ingine ya 3400 hp uki + na mabonde njiani naona nitateseka Sana Kila mala nikwenda garage.[emoji602][emoji597] Mhhh ngoja nii ng'oe chap kidogo
[emoji12][emoji12]Huna discipline ww,kuna maeneo ya kukimbia na kuna maeneo ya kua mpole [emoji16]
Kweli mkuu maana gereji itakuhusuHuna discipline ww,kuna maeneo ya kukimbia na kuna maeneo ya kua mpole [emoji16]
Nauliza tu..
Processor 2.30Ghz
Ram 4gb
Hd graphics 3000
32 bit operating system
Window 7 premium.
Core i3-2350m
Naweza kucheza magemu mbona naona sielewi elewi halafu hobby yangu magemu hasa magari..