Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Wakuu mm pia ni mlevi sn wa hii game lkn tng pc yng ime corupt nkapoteza set up so naomba kujua naipataje wazee af pia naomba uliza hv hii game ina play kwny desktop
 
Wakuu mm pia ni mlevi sn wa hii game lkn tng pc yng ime corupt nkapoteza set up so naomba kujua naipataje wazee af pia naomba uliza hv hii game ina play kwny desktop
Itategemeana na specification za desktop yako.
Hebu weka tuzione
 
Hii ramani ni noma sana yani full kukutana na barabara zimekatika unapita juu ya ubao ili kuvuka kukutana na baraba nyingine
ets2_20191019_131128_00.png
ets2_20191019_131227_00.png
ets2_20191019_132641_00.png
 
Nami naombeni gemu hili jamani [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Nina miezi sasa hili game sijaligusa. Yaani mbali na kuweka mod lkn nakosa kabisa uptite nalo.
 
Wataalamu ninataka kununua play station 3, vp ninaweza kucheza ets pia kwenye PS3?
 
Back
Top Bottom