Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Nmedowlod ikianza kuinstall ikifika asilimia kadhaa inagoma
 
Inaandika hiv ikifika asilimia 56 hiv kuna error inaleta
 
Ndg naomba link ya mod ya logistic skin ya Tanzania companies
 
USHAULI. Nenda upande wa Google Kisha andika 1337x.to. utakutana nazo nyingi ila we chagua moja wapo Kat ya hizo.
Kudownload kupitia site hii ni nzuli mno. Ila mpaka uwe na U torrent
 
Nauliza tu..
Processor 2.30Ghz
Ram 4gb
Hd graphics 3000
32 bit operating system
Window 7 premium.
Core i3-2350m

Naweza kucheza magemu mbona naona sielewi elewi halafu hobby yangu magemu hasa magari..
Ndio inaweza ila hapo kwenye 32 operating system nakushauli ubadilishe iwe 64 ili Mambo yakae sawa
 
Hapo unaenda my compyter properties Kisha utaona neno system type.kama ni 32 au 64.
Ukikuta ni 32 au x82 ujue window yako ni 32bit Cha kufanya toa hiyo Kisha weka window ya 64bit.na hapo Mambo yatakuwa saafi. lakini
WARNING: KUNA BAADH YA MASHINE NI MAALUM KWA 32BIT TU HIVYO NI VYEMA ZAID UPATE USHAULI KUTOKA KWA WATAALAM KABLA HAUJA BADILISHA WINDOW YAKO.
 
Nimeona file lipo katika uzi huo namba 33 ila nimeshindwa kulidownlosd
Hata Mimi nimeiona.ila NI vyema zaidi ukatumia mod inayoendana na game lako.kwani ukilazimisha utakutana na crash au steam has stopped working.
Niulize Mimi au mabala family tulivyo hangaika mpaka vichwa vilitaka kupasuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…