Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Haya sasa wapend mod Kama Mimi kitu hiki hapa : Andes peru hiyo.
Ni map mpya kabisa.
 
Daah hiyo MAP sio poa kabisa kwasisi tunaokimbia kimbia hovyooo.....inakonakona nyingi
We Kuna map moja hivi ni balaaa.ni mithiri ya puno peru.ngoja niendelee kuifuatilia Kisha nije na mlejesho (link)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…