Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Aah mkuu tumia windows 10 bhana...
Fanya clean installation , mambo yatakuwa mswano...
 
Wazee naona mmetoka brazil saiz mpo zenu puno
 
Puno nimekuta njiani mlori wa mafuta unaungua....😂😅😅
 
Mchuma unavuta vichwa vitatu unapeleke kwa boss furani hivi
Mkuu hongera naona unavuta vichwa v3 vya Renault huko Brazil na Bendera yetu ya Taifa
sijarudi bado kwenye ETS-2 nakomaa na computer,
nafurahi ukitutumia mara kwa mara maana wengine Bar au viwanja hatuendi tumomomumu
 
tunafufua makabuli mpaka kielewekehttps://ets2.lt/en/eldorado-map-free-for-1-35/
 
Wewe mkali bado hiyo Scania 730e ina horsepower 730 hujaiongezea injini na gearbox kubwa?
mm naweka mpaka engine ya 3400hp haipandi inateleza na theluji natafta hela nikaweke engine ya nwisho kabisa 10000hp
Hapo pananisumbua sana
Ukitaka kupanda hapo weka horse power ya kati, ukiweka kubwa huwa inakwama weka ata 900hp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…