Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

15741070287751504816199.jpg
 
Je wewe ulisha safirisha mzingo wa bei kubwa kuzidi safari zako zote na ulikwa shilingi ngapi? Kwangu mimi ulikuwa pound 664,558 zingo remix lenye tani zake za kutosha
ets2_20191117_174212_00_edited.jpg
ets2_20191119_083927_00.png
 
duuuh hiv zigo kubwa kama hilo peru inawezekana??. mimi ilikuwa ni treni tani 62 na cha moto nilikiona
 

Attachments

  • ets2_20191117_081233_00.png
    ets2_20191117_081233_00.png
    1.3 MB · Views: 2
  • ets2_20191117_081233_00.png
    ets2_20191117_081233_00.png
    1.3 MB · Views: 2
Hii brazil moja...moja ya map kali ni hii..nishachafua yote

Sasa tafuta southern region,ni map ya Russia..aiseee balaaa
Mkuu nashindwa ku download game, najaribu ku download u torrent inadai window above 7 wakati ninayo window 7 ultimate. msaada namna nyngne
 
Duh huo mlima kati ya HUATASANI kwenda PUTINA nateleza sana, nachofanya naita Garage wananivusha mbele ya Mlima, nimenyanyua axel ya nyuma wapi, mpaka nimeinunua Volvo nikaipa Mashine kubwa ndio napita sasa, kweli maujanja sina mbele ya theluji
View attachment 1266770
Itabdi ufunge mitair ile ya off-road [emoji16]
 
Duh ebu piga picha tuone huo ujumbe
Mkuu nashindwa ku download game, najaribu ku download u torrent inadai window above 7 wakati ninayo window 7 ultimate. msaada namna nyngne
 
Itabdi ufunge mitair ile ya off-road [emoji16]
Hapo kweli, ngoja nisake AllMods labda naweza zikuta
kuna mahali niliona uliweka RIMS labda kutakuwepo na tyres
nimezipata za theluji nimefunga acha twende pamoja, msiniache
 
Back
Top Bottom