Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

nimezipata za theluji nimefunga acha twende pamoja, msiniache
Tairi kiboko zimenivusha kwenye theluji, PUTINA - HUATASANI
sijajua kwingine kwenye vumbi lkn ndio nitatumia ili twende pamoja
 
Sasa mkuu si upunguze vitu uweke disk nyingine? Local disck C free ngap?
Mkuu nimefanikiwa kudownload shida inagoma ku install kwamba disc C iko full hapa vitu vya kufutA sijui maana naona nitaharibu.
 
Guys Nahitaji na mimi nicheze hilo Game
ila Pc yangu Specification yake ni
Processor:- Celeron 2.16Ghz
RAM:- 2Gb


je ntaweza kulicheza kutokana na uwezo wa pc yangu
 
Guys Nahitaji na mimi nicheze hilo Game
ila Pc yangu Specification yake ni
Processor:- Celeron 2.16Ghz
RAM:- 2Gb


je ntaweza kulicheza kutokana na uwezo wa pc yangu
umenikumbusha mbali kidogo. nami nilikuwa na pc yenye spesc kama hizo. kwa version ya 1.35.xxx hauwezi kamwe. labda kacheze version 1.1.1.1
 
Back
Top Bottom