Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

imetokea nini Mkuu mpaka uipige chini?
huu ugonjwa ulishanitokea sana kila mara napiga chini mpaka wakaniambia niende Window 10
Pole sababu
Amna mkuu pic yangu ilikaliwaga kioo kipindi icho ilikua na windows 8pro
Sas mm nlikua nataka 10
Sas huwez kupiga windows ukiwa huoni....jmaa yangu akatoa hard disk akapigia kwenye machine take
Sas nahis windows haikuingia vizur..au nadhan bola kupigia kwenye systems yake ya hardware
Sas nafanya mpango kutafuta kioo chake irud kwanza kwenye hari take...japo hap natumia kwenye flat
IMG_20191125_200912.jpeg
IMG_20191125_200926.jpeg
IMG_20191125_200952.jpeg
 
Amna mkuu pic yangu ilikaliwaga kioo kipindi icho ilikua na windows 8pro
Sas mm nlikua nataka 10
Sas huwez kupiga windows ukiwa huoni....jmaa yangu akatoa hard disk akapigia kwenye machine take
Sas nahis windows haikuingia vizur..au nadhan bola kupigia kwenye systems yake ya hardware
Sas nafanya mpango kutafuta kioo chake irud kwanza kwenye hari take...japo hap natumia kwenye flat View attachment 1272479View attachment 1272481View attachment 1272482
pambana mkuu. ulidi barabarani mod kwani zinakusubili
 
hivi wangapi humu mnatumia mod ya pack_pw_engine and gearboxes? . leo katika mission ya kusafilisha mbao nimeamua kutumia hizi [giant engine] kutokana na mzigo kuwa ni mkubwa [trela 2 za mbao] bas nikaiweka engine ya 3600 hp na gear 22 open paip. weee dude lilivyokuwa linakwea milima na mitelemko kama vile cna mzigo. japo me c muumini wa hizi engine lakini nimezikubali kuanzia leo.
 
Hiyo ndo Engine yangu kitambo...iko huku jukwaani nafkr wengine wanayo

Yani chuma inaivaa
hivi wangapi humu mnatumia mod ya pack_pw_engine and gearboxes? . leo katika mission ya kusafilisha mbao nimeamua kutumia hizi [giant engine] kutokana na mzigo kuwa ni mkubwa [trela 2 za mbao] bas nikaiweka engine ya 3600 hp na gear 22 open paip. weee dude lilivyokuwa linakwea milima na mitelemko kama vile cna mzigo. japo me c muumini wa hizi engine lakini nimezikubali kuanzia leo.
 
hivi wangapi humu mnatumia mod ya pack_pw_engine and gearboxes? . leo katika mission ya kusafilisha mbao nimeamua kutumia hizi [giant engine] kutokana na mzigo kuwa ni mkubwa [trela 2 za mbao] bas nikaiweka engine ya 3600 hp na gear 22 open paip. weee dude lilivyokuwa linakwea milima na mitelemko kama vile cna mzigo. japo me c muumini wa hizi engine lakini nimezikubali kuanzia leo.
nenda polepole hizo engine huwa zinarusha gari na hata mweleka, hasa ikiwa tupu haina mzigo
 
ukizoea unai masta fresh tu na bila mzigo, hua namaitain 250 kph kwa access road zenye kona isopungua angle 120,

na 340 kph kwa highways
 
aisee kama hapa speed ni 198 gia 22 .. ilinilusha mzinga mmja hatali
 
Attachments

  • ets2_20191126_035510_00.png
    ets2_20191126_035510_00.png
    1.1 MB · Views: 5
ukizoea unai masta fresh tu na bila mzigo, hua namaitain 250 kph kwa access road zenye kona isopungua angle 120,

na 340 kph kwa highways
naona sasa kwa mbali naanza ku masta hizi gia+speed.. yaani kila mara ngoma ikifika 210 kph lazima nile mzinga
 
kaza mpaka mwisho suspension za Truck na Teller lake na breki weka pia mwisho, stiffness ya suspensio angalau nusu halafu ile axle bonyeza U likikutupa ondoa kwa U hapo utalimaster
mm kwa Europ na Brazil kwenye Lami iliyonyooka navitesa vigari vyote na raha yake navyo eti vinanigomea, duh huyu aliyeprogram hii Game namvulia kofia
 
kaza mpaka mwisho suspension za Truck na Teller lake na breki weka pia mwisho, stiffness ya suspensio angalau nusu halafu ile axle bonyeza U likikutupa ondoa kwa U hapo utalimaster
mm kwa Europ na Brazil kwenye Lani iliyonyooka navitesa vigari vyote na raha yake navyo eti vinanigomea, duh huyu aliyeprogram hii Game namvulia kofia
alafu cha kushangaza hawa developer wako kimya sana hasa wa mod za barabara sijui kuna mipango gani mipya wanakuja nayo ## tunahitaji map mpya##
 
Back
Top Bottom