Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

naiona hapa ina gb 3 hiv. kwani kuna rough road,milima ya kutisha vipi na vitu vingine vingi vinapatikana kwenye hii map au ni mbwebwe za gb nying huku ni mzigo wa kawaida.?
 
Vyote hivyo vipo...russia moja hiyo

Mkuu kcamp shukrani kwa Russia nimedownload mafaili yamefunguka mengi kwenye Mod, mengine ya Ferry, Lugha, Garage, sasa limegoma kufunguka baada ya kuweka faili zote 7
imeweka mojamoja pia Game linagoma
 
Unaweka zote mkuu..

Umejarbu kuzipanga mod accordingly?

Na kweny module umechagua?

kwenye Module nimechagua badala ya neno Europe nikaweka yenyewe
sema upangaji huenda nimechemsha maana yapo mafaili 8
 
NAMUona developer wa slovakia map bwana kapo anaendelea kui update map yake.. sasa ipo v1.36
 
mhh! ku master hii gari na engine yake ni kazi sana.leo nimejitahidi kidogo. cheki hapa speed 236 ni hatari sana
 
Attachments

  • ets2_20191127_033429_00.png
    505.9 KB · Views: 4
kwenye Module nimechagua badala ya neno Europe nikaweka yenyewe
sema upangaji huenda nimechemsha maana yapo mafaili 8
mkuu kasema russia wana jua sana na ndo maana map zao ni za kibabe . so kuwa makini na upangaji wako
 
mhh! ku master hii gari na engine yake ni kazi sana.leo nimejitahidi kidogo. cheki hapa speed 236 ni hatari sana
safi sana, top speed kabisa ni ngapi ?

jarib ku mode uzito wa cabin (uongeze ) inapunguza kuyumba , ongeza uzito wa chassis

ongeza wheel base ( urefu kutoka tairi la kushoto na kulia )

unaweza ongeza HP (torque na RPM) zaidi uka mod gear ratio ziendane

izi mods zipo kwenye scs file mojawapo la kwenye engine/chassis kama sikosei
 
mkuu kuhusu speed yaani cjui linaishia ngapi? nimejalibu kutembea high way nikaishia 260 na hapo ilikuwa ni gia ya 21 . na pia kuhusu cabin na wheel base hapo kila kitu kiko swafi kabisaa.
 
kwenye Module nimechagua badala ya neno Europe nikaweka yenyewe
sema upangaji huenda nimechemsha maana yapo mafaili 8
Hapo mchawi ni kupanga tu...tatizo mim saiz sina hiyo map..ila.usku naipakua nitakujulisha
 
Hapo mchawi ni kupanga tu...tatizo mim saiz sina hiyo map..ila.usku naipakua nitakujulisha
Sawa Mkuu tunakutegemea mm limekula 2.6Gb sema kuyapanga mafail maana yametokea 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…