Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Mkuu hauna 32 bit maana hii ni ya 64??
 
Hapa nina mod ya powerful engines kwa trucks zote, kitu hp 3900.
Pia mod ya Xp x7 na Money x7, hii ndani ya safari kama 5 tu shakuwa Legend Level 53 nikiwa na Scania yangu S High Roof. Hapa naona kuna job wanaoffer mpaka €1000000.
Hii game nzuri sana ukiipa Mods
 
Bila mod nshafika level 76 na euro milioni 146. Linapendeza ukicheza kwa uhalisia wake na kutumia mods za real company logo na magari ya nyongeza
 
bado hujacheza gemu, kucheza gemu anza ukiwa zero mpka uje ufikie uwe professional na Euro zakutosha na garage zako
 
Kweli mkuu...mim natembelea volvo moja matata, mitaa ya urusi ,scania s nimepaki pembeni

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Bila mod nshafika level 76 na euro milioni 146. Linapendeza ukicheza kwa uhalisia wake na kutumia mods za real company logo na magari ya nyongeza
Level 76 bila mods,mkuu una mda nalo sana.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…