dasi besi
Senior Member
- Jun 12, 2015
- 190
- 105
Pia unatusaidia sisi ambao tunazichanga ili tununue pc 😂 😂mkuu huu uzi kamwe hautakiwi kuamishwa kwa sababu. 1] unawasaidia watu wengi namna ya kuinstall hili game 2]kuinstall mod 3] kutugei kila update juu ya hili game letu hususa ni pale ETS2 wakitoa version mpya na pia inawasaidia watu weng sana japokua hawa changii hoja yoyote ile hapa [wazee wa [kimyakimya]