Pia unatusaidia sisi ambao tunazichanga ili tununue pc 😂 😂mkuu huu uzi kamwe hautakiwi kuamishwa kwa sababu. 1] unawasaidia watu wengi namna ya kuinstall hili game 2]kuinstall mod 3] kutugei kila update juu ya hili game letu hususa ni pale ETS2 wakitoa version mpya na pia inawasaidia watu weng sana japokua hawa changii hoja yoyote ile hapa [wazee wa [kimyakimya]
karibu mkuuPia unatusaidia sisi ambao tunazichanga ili tununue pc 😂 😂
Mkuu kumbe unachagulia hapa!?
Kwahyo unaweza kua na profile hata 3 ukaactivate mods tofaut
Yaan profile yakwanza unaendeshea dar
Nyingine iringa
Nyingine tandahimba uko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
kelphin kepph
mkuu hii hapa kwenye steam nimetumia jina la fbl8888 pin ni ahz65i98 yeyote yule achukue hii account kisha aniangalizie key zake
Umeweka map gani? Naww una ets2 version ipi? Map unachagua kweny playing module incase inakutaka ufanye hivyoJamani msaada nimeweka mod ya maps ila sijua naanzaje kuicheza iyo mod ya map nisha iwe active tatizo ni sehemu ya kuiselect ili niitumie
Sent using Jamii Forums mobile app
daaah nakumbuka baada ya kunizengua et nimezifuta yaani hapa najiona fara ghafla
Umeweka map gani? Naww una ets2 version ipi? Map unachagua kweny playing module incase inakutaka ufanye hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu, napata shida game nimedownload inainstall but inaleta errors kufunguka kama hivi, nimefuatilia uzi sijaona maelezo namna ya ku installUmeweka map gani? Naww una ets2 version ipi? Map unachagua kweny playing module incase inakutaka ufanye hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unacreat new profile...afu pale kwenye play module ndo utaikuta hiyo map uloiwekaJamani msaada nimeweka mod ya maps ila sijua naanzaje kuicheza iyo mod ya map nisha iwe active tatizo ni sehemu ya kuiselect ili niitumie
Sent using Jamii Forums mobile app
Umedownload kutoka link ipi?Wakuu, napata shida game nimedownload inainstall but inaleta errors kufunguka kama hivi, nimefuatilia uzi sijaona maelezo namna ya ku install
Nina account nisha fanya izo map ziwe active tatizo nikija kwenye world map si ioni iyo map ili ni select au nipite iyo njiaUnacreat new profile...afu pale kwenye play module ndo utaikuta hiyo map uloiweka
kelphin kepph
Unatumia version ngapNina account nisha fanya izo map ziwe active tatizo nikija kwenye world map si ioni iyo map ili ni select au nipite iyo njia
Sent using Jamii Forums mobile app
Create new profile unavoendelea kujaZa upande wa kushoto juu Kuna mods manager.unaclick app unaacticvate hyo mod au zote unazotaka Kisha Happ kweny play module ndo utaona map uloiselect kwenye mod managerNina account nisha fanya izo map ziwe active tatizo nikija kwenye world map si ioni iyo map ili ni select au nipite iyo njia
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani nimepata shida nyingine kila nikiplay mod ya map game lina stop au closing program
Map haiendani na game version au kunamod umeitoa...na ilikua on progressJamani nimepata shida nyingine kila nikiplay mod ya map game lina stop au closing program
Sent using Jamii Forums mobile app