Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Latest ni kama 7.8 gb iviNaomba uwe
Unani tag nimelitafuta mno ili game leo nikitoka job nikajiunge nidownload naomba link ambayo ni latest vision na izo mod samahani lakini kwa usumbufu
Mkuu ww unakwama wapi?[emoji16]Duh, wazee wa mods noma sana nyie
Mzee baba ngoj niichukue
Map ya wap hi
Mkuu, mimi natumia mods za kawaida tu ila sio kama hizo zenu. Nitabadili sauti za magari, real company mod ila sio hizo aisee, kwa sababu game limeundwa kwa ajili ya malori
Map ya wap hi
K,K
Mkuu, mimi natumia mods za kawaida tu ila sio kama hizo zenu. Nitabadili sauti za magari, real company mod ila sio hizo aisee, kwa sababu game limeundwa kwa ajili ya malori
Download Map Puno Peru ETS2 Peru Mod CoMpia mkuu au nipe link ya puno niidownload kabla bando halijakata. Natumia ETS 2 V 1.36 2.2s
Sent using Jamii Forums mobile app
Peru ilinzinguaga
Kweli mkuu πππHahah...nakubali mkuu...unajua kuna vijiji lazima tupite na mabus kidogo[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, nimefanikiwa ku install mods, sema map sijui nawekajeHino bus
Ukitaka kuafaid bus..tafuta bus za india au Indonesia ..hizi chuma balaaView attachment 1403398View attachment 1403399View attachment 1403400View attachment 1403401
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, nimefanikiwa ku install mods, sema map sijui nawekaje
Nashusha mzigo kwa heshima yako
picha pleaseAise Peru Ni noumaaaaaaaa
K,K
mkuu safi sana saluteHino bus
Ukitaka kuafaid bus..tafuta bus za india au Indonesia ..hizi chuma balaaView attachment 1403398View attachment 1403399View attachment 1403400View attachment 1403401
Sent using Jamii Forums mobile app