Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Hii ni ya pc tu

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu, mimi nimefanya hivi. Angalia uniambie nakosea wapi.

Nimeextract puno kwenye mod vizuri kabisa. Nikafungua game, nikaona kwenye mod manager inaniambia NEW MOD FOUND. Nikaingia nikaikuta kweli PUNO. NIKAIACTIVATE ikawa Active. Nikaunda account. Sasa kwenye kuunda account hapa naona playing module ipo Europe na hainiruhusu niingie hapo ili nibadilishe. Nikianza kucheza kwenye map haiji PUNO. Nini nifanye mkuu au nakosea wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuanzie hapa,ww unatumia ets2 version ipi? Na puno umedownload version ipi?
mkuu, mimi nimefanya hivi. Angalia uniambie nakosea wapi.

Nimeextract puno kwenye mod vizuri kabisa. Nikafungua game, nikaona kwenye mod manager inaniambia NEW MOD FOUND. Nikaingia nikaikuta kweli PUNO. NIKAIACTIVATE ikawa Active. Nikaunda account. Sasa kwenye kuunda account hapa naona playing module ipo Europe na hainiruhusu niingie hapo ili nibadilishe. Nikianza kucheza kwenye map haiji PUNO. Nini nifanye mkuu au nakosea wapi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna link za ets 2 zaid ya moja huko juu,pia kuna link za puno zaid ya moja huko huko juu..kila link ilikua na mda wake coz game na mods ziko updated..sasa unatakiwa kusema ww umedownload puno version ipi,na ets2 version ipi,bila hivyo hutoboi
mkuu, ets 2 na puno vyote nimedownload juzi kwenye link yako ya post ya mwanzo wa hii thread

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NIMEGUNDUA. KUMBE HATA HAPA BONGO wataalamu wa ETS2 wapo ila wanazifanya shughuli za kumod kimasilahi zaidi mfano mtu kukugei mod za bus,map zinazoendana na mazingira ya hapa bngo mpaka ulipie fedha ndo akugeie
 
Wahun tu wnatengeneza stickers hata sisi tukiamua tunafanya...kama wao vidume watuletee ubungo to mlandizi tu map [emoji2]

Back
Top Bottom