Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Unatakiwa kufanya hivi,

Extract kwanza pemben iyo Canada map..kisha ndan utapat files mbili moja ni def na nyingine ni map yenyew..sasa zicopy kwenda kweny mod folder...

Baada ya hapo ndio uka activate kweny mod zako..make sure unachagua map canada na def yake ile

Baada ya hapo create acc kisha itafungua Europe map sasa scroll kushoto kabisa utaona miji ya canada
Nime download canada map nimecreat account na kui active iyo map kwenye mode ile nikilud kwny selection naiyona Europe tu , canada haiyonekan

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazee me mods zinanisumbua kuinstall kinoma...napenda kuendesha rough road...hizi lami zimenichosha...baada ya kudisable speed limit na traffic offence sasa hivi natembea mpaka 150 K/PH..SINA HABARI....Nakosa Mods tu mazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatakiwa kufanya hivi,

Extract kwanza pemben iyo Canada map..kisha ndan utapat files mbili moja ni def na nyingine ni map yenyew..sasa zicopy kwenda kweny mod folder...

Baada ya hapo ndio uka activate kweny mod zako..make sure unachagua map canada na def yake ile

Baada ya hapo create acc kisha itafungua Europe map sasa scroll kushoto kabisa utaona miji ya canada

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefanya kama ulivyo nielekeza tatizo nikifika kwny map sio button au sehemu ya kuscroll ili niweze kuiyona canada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazee me mods zinanisumbua kuinstall kinoma...napenda kuendesha rough road...hizi lami zimenichosha...baada ya kudisable speed limit na traffic offence sasa hivi natembea mpaka 150 K/PH..SINA HABARI....Nakosa Mods tu mazee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mod iwe sawa n game version

kelphin kepph
 
Back
Top Bottom