Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Attachments

  • Shot 013.png
    Shot 013.png
    156 KB · Views: 3
Kuna mzgo wa map inaitwa honduras aisee balaaa... sema ni ya ATS sio ETS

Itabidi tupakue na American truck simulator ili kuzipiga map zote hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya sasa mzgo mpya huo map canada,,typ za hundolandia kwa mbaaali japo haifikii ila nayo tamu tu

Nimepakua jana,nikatest route Kama mbili, ebwana kuna milima bila namba 1 hupandi kwa kutumia stock engene,,sasa nataka nimod truck yangu ndio nianze kuchanja mbuga mana nilkua natest tu bila mod yyte


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom