Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Nikipata muda kesho nitatupia akaunti yangu hapa,na garage kama 40 na truck mia na kitu,na hapo na miezi 4 sijacheza hii game kutokana na ubusy,kitu kimoja tu kinaniboa siwezi kutumia mods,nilijaribu sana lakini sikufanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni utaratibu wa kubadili lugha kutoka Russia to English. Nili-unstall game sababu nilipiga windows chini, nilipo-install tena game, nilitick kabisa kwenye bendera ya marekani iwe ndio lugha nitakayoitumia, lakini game lilipomaliza kuinstall lugha iliyokuja ni hiyo Russia,. Nimejaribu mara mbili kuistall lakini hali inajirudia hiyohiyo.
View attachment 1344020
Sent using Jamii Forums mobile app