Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Kinachoniuma ni kuwa Nimeshusha 1.35 nimecheza siku mbili...lime crash.nimeumia sana saana
 
Wakuu ninayo steering wheel controller. Ukiitumia hii ni kama unadrive vile yaani ni raha sana. Kuna kipindi nilienda china nikalinunua kwa ajili ya kufungua biashara. Lakini nafikiria kuliuza kama kuna offer ya 600K maana sijafanikiwa kupata mtaji wa kuanzisha hii business.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom