Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Dah nimemiss mzigo, uko kwenye pc alafu adapter imeungua shit. Alafu nikilkuwa na mzigo kutokwa Norway kwenda Odense. Nimeapa kuimaliza map yote ya ulaya ndio nije kwenye mods.

Norway wana barabara nzuri sana. BHV watanisamehe mzigo wao
 
Hahah pole mkuu...fanya upate adaptor...

Huku mod ndo kama hivyo mzigo wa harsh Russia umetoka basi noma kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah pole mkuu...fanya upate adaptor...

Huku mod ndo kama hivyo mzigo wa harsh Russia umetoka basi noma kwel

Sent using Jamii Forums mobile app

Ngoja kwanza niimalize map ya Europe, nipo 11% explored, naamini nilikosea kuweka kituo changu cha kwanza Bremen. Hakuna mizigo. Kihivyo, Hannover, Odense, Jonkoping, Vaxjo, Helsink kuna mizigo ya ukweli.

Kinachonikera ni polisi kufunga barabara kikukiwa na ajali, nikizibua njia ajali inapotea fala zao.

Mkuu unajua muda wa kusubiri polisi wafungue barabara?

Kingine i like Europe kwanza, haya makampuni ya Europe yananifurahisha BHV, ITCC, WGCCC, GNT, EUROGOODIE, TIMBER TURTLES, ngoja kwanza nijifunze vitu vingi ndio nakuja kwa map.

Fanya mzeee, kunijibu muda wa kusubiri police roadblock kukiwa na ajali?.
 
Alafu hawa madereva wanaofanyia garage yangu kazi kuna njia yoyote ya kufanya waniletee pesa nzuri. Haiwezekani ninunue mashine ya dola laki moja, alafu uniletee Jero kwa siku.

Kuna njia wakuu?
 
Mkuu kusema kweli mimi stock map nimeiacha siku nyingi...nimekua nikipiga misele uchochoroni tu...ngoja wadau wa Europe waje kama wanajibu zuri kuhusu hao mamwela wafunga njia...

Sisi bwana huku kweny mod tunapasua tu hata uweke roadblock tunapita[emoji16]

Sasa mkuu ww kwakua unapenda map nzur nzur..itabid uweke map ya pro mod... bonge moja la map..hata stock haioni ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu hawa madereva wanaofanyia garage yangu kazi kuna njia yoyote ya kufanya waniletee pesa nzuri. Haiwezekani ninunue mashine ya dola laki moja, alafu uniletee Jero kwa siku.

Kuna njia wakuu?
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba wanaleta utani na job..

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Alafu hawa madereva wanaofanyia garage yangu kazi kuna njia yoyote ya kufanya waniletee pesa nzuri. Haiwezekani ninunue mashine ya dola laki moja, alafu uniletee Jero kwa siku.

Kuna njia wakuu?
Watimue mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

K,K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…