Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Mkuu umejarbu start hapo ukaona map inakuja ya Europe? Kuna baadh ya map huwa ndan ya Europe..yan playing module inakua haibadilishk lakin ukiload inakuja map yako ya mod..na zingine inafungua Europe lakin uki scroll pemben unakuta map yako nayo ipo..so jarbu ku load hivyo hivyo uone
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanikiwa kuziconfigure hizo file, na map ya Harsh sasa inaonekana kwenye playing module changamoto inakuja nikishachagua hiyo mapa ya harsh ili iload nicheze game inakata kabisa
Nimesoma maelezo yao kwamba natakiwa nicreate temporary folder halaf nidissable dlc sijui east ndio niweze kucheza kwa map hiyo
Ebu naomba namna ya kufanya hivyo

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
weka hii mod iwe ya kwanza juu kisha ndio zifatie hizo za map

Download LOCK DLC East fix scs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inshu za huyu jamaa ndo huwa ni hivyo mkuu ukifanikisha utakuwa umeni shawishi sana kudownload hiyo map
 
daaaah!me cjui nakwama wapi,kila mod ninayoweka active.wananipa notification kwamba game limecontain programs from un trusted source.so linaweza kuharibika na vitu kama hizo.lakin kwenye american truck nimejaribu kuweka mods na kuziactivate wala hakuna shida iliyotokea.ila ETS2 ndo kisanga tuu...ANY MSAADA PLEASE...
 
Hyo warning kawaida tu...we tia mod kula mzgo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee nimepanga hizo mod kama ulivyoelekeza, ila kila ninapotaka kuplay ikianza kuload tu game inakata na kunirudisha kwenye desktop display


Sent from my SM-G532F using Tapatalk
sasa hapa naona mpaka u disable DLC
 
Wakuu, naomba msaada kwa picha jinsi ya kubadilisha playing module. Please.🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…