Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Ukwaju unakwama wapiii [emoji3]
20190613_120208.jpeg
 
You can remove the speed limiter from the gameplay settings by unticking "Truck Speed Limiter":
Asante mkuu...vp kuusu kunyanyua ni key gan inatumika kama nikidondoka
 
Nasisi tunaotembea route za masaa 60 tuweke speed limits?
Unaondoa utamu wa game mzee baba, hivyo vikwanzo ndio vimefanya likaitwa game......
Unataka ukimbie tu mpaka kwenye kibao cha speed limit kwan unawahi wapi....ukiua watu je
 
Najichallenge mkuu kwenye control[emoji23][emoji16][emoji3]
 
Nasisi tunaotembea route za masaa 60 tuweke speed limits?
Mimi nacheza mpaka siku mbili yaani unacheza mpaka mgongo unauma ndio namaliza root na sitoi speed limit..
 
Dah kwel mkuu ww mstarabu..sasa mimi kunyata sipendi,hiyo horsepower tu nmefunga 3000HP uko

Back
Top Bottom