Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Kunyanyua watu wa gereji watakunyanyulia hilo gari,ila kiasi cha hela lazima kilipwe. Sijaelewa kwa pc zingine mimi natumia hp nabonyeza fn na f7 halafu unapelekwa gereji. Hapo utatengeneza kama kuna ubovu wowote,kama hakuna washa gari unachapa mwendo kuelekea unakopeleka mzigo
 
kweli kabisa km gari limekwama au kupinduka kwenye PC unabonyeza F7 halafu Enter unapelekwa gereji, watakata hela zao, ukikuta huna damage kubwa unasepa. pia iantegeme na gereji ilipo unaweza kuta umerudi nyuma au mbele kidogo
 
Poa mkuu ,chek pm yangu ukwaju
@kcamp nimeingia mlimani /kijijini nikirudi natafuta RAM niongezee angalau ifike 6gb kwa sababu ukidownload version 1.35 linakubali kasoro haliplay
 
Mkuu nmepata mods 2 nmeziwwka name hizo mods sio zaku extract
Nmeisave pale name nlipokuj kweny game nmezikuta Nola enable all sassy nikikrick apart kwenye magari soon zire gari
 
Make sure game na mods ni version sawa,kingine hizo gari utaenda ku buy kwa dealer husika..soma mods description kujua gari yako utaipata kwa dealer gani,,

Mfano,umedownload mods ya Range alaf description inasema dealer ni scania,basi utaenda ku buy truck kwa scania ndio utaiona hiyo range humo,utainunua then your ready to go
 
Fanya kama una create new profile,juu kushoto utaona game version
Mkuu nmepata mods 2 nmeziwwka name hizo mods sio zaku extract
Nmeisave pale name nlipokuj kweny game nmezikuta Nola enable all sassy nikikrick apart kwenye magari soon zire gari
 
Make sure game na mods ni version sawa,kingine hizo gari utaenda ku buy kwa dealer husika..soma mods description kujua gari yako utaipata kwa dealer gani,,

Mfano,umedownload mods ya Range alaf description inasema dealer ni scania,basi utaenda ku buy truck kwa scania ndio utaiona hiyo range humo,utainunua then your ready to go
Kwayo kumbe haziji darect pale pakuchagua trucks design inabid ukanunue
 
Apa Chino Inaandik hivi
The game authorized modifications. No support is available for modified game. In case of problems or crashes try to remove your mod pack
 
Back
Top Bottom