Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

1.9.22 ndivo ilivoandikwa apa chini sas hi ni version game au
 
Hapo ushaniacha
Mkuu, fanya yafuatayo:
1. Hakikisha una torrent client au software kwenye pc yako. Kama huna tafuta torrent client kama qbittorrent kisha download na uinstall kwenye pc yako
2. Kuna magnet link niliupload kwenye hii thread, idownload akafu uextract kutoka kwenye zip file maana jf hairuhusu kuupload torrent file extensions.
3. Ukishaextract hiyo link itafungua moja kwa moja application ya torrent client uliyoinstall kwenye pc yako. Ikishafunguja utatakiwa kuchagua save location na hapo itaanza kudownload game la Euro Truck Simulator 2 v1.35.1.
 
App ya DENT inakupa vifurushi vya bei nafuu na pia inakupa salio la zaidi ya shilingi 5000tzs mara tu utakapo jiunga.

Na kizuri zaidi utaweza kutoa papo hapo kwenye mtandao wowote utakaopenda kama vocha tu na si Mobile Money.

Link

https://jamiiforums.com/Tovzs7sxQX

Tanbihi:Link hiyo niliyoitoa ni refferal link ukijisajili kupitia link hiyo wewe na mimi tutapokea 690 dent bila ya wewe kupungukiwa na chochote.
Jumla utakuwa na dent 1280 ambazo 690 ni bonus ya kualikwa na 590 kama welcome bonus ambazo zina thamani ya shilingi 5000tzs.
 
Hueleweki Mkuu, watu na member wanataka kushusha ETS, huko kwa madent MB zinashusha?
 
Map ya kibabe hiyo
 
bro mpaka sasa nimekwama namna ya ku install
1562157000584.jpeg
 
Back
Top Bottom