Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Hatar mkuu..ngoja nimalzie kushusha EAA map hapa nianze misele ya Brazil [emoji16]
ivi nikidowload version mpya nafanyaje account ya zamani iwe tu updated na sio nianze upya?
Halafu pia kuna uwezekano wa profile kubaki ile ile nikibadili pc?
 
Inategemea,kama una install version mpya as update file itakubali..ila uki download game mpya full sidhan kama itakubali..lakin pia kama ni mtu wa mods haiwez kubali mana mostly mods zinataka correct version
 
Sure ukifulia sana uwe kweny high tu..chini ya hapo uchafu

Sasa upate mods za graphics improvement yani utafurahi hizo hdr
raha ya hii kitu uweke ultra kwakwel then huwa naiconnect na flat hapa basi daaaa
nasahau hata majukumu
 
Brazil moja..chaka 2 chaka

Scania S
ets2_20130831_070510_00.jpeg
ets2_20130831_070701_00.jpeg
ets2_20130831_070815_00.jpeg
 
d
Inategemea,kama una install version mpya as update file itakubali..ila uki download game mpya full sidhan kama itakubali..lakin pia kama ni mtu wa mods haiwez kubali mana mostly mods zinataka correct version
daahh kwahyo itabidi nianze upya😞😔
 
Back
Top Bottom