Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

View attachment 1262786
nimeipenda hiyo ya kula mkambi/mweleka, hapo ingia Game play kakaze stifness ya suspension, Trailer na Truck lenyewe, hapo halitayumba, na ukifika kwenye mawe na corrugation legeza tena suspension,
yaani Damage ni nyingi, yupo Member The coolest jw post #887 alisema kuna Mod ya No Damage tungeipata hiyo Puno Peru tungeshinda
Mimi nimeipata hiyo mod ya no damahe nimeweka iko poa, tatizo ukianguka lazima uite mtu aje kukunyanyua
 
Download: No_Damage_by_sdonbass18_v1.35.x.rar [507 KB]
KONGOLE Mkuu, shukrani sana sasa napasua barabara za Puno_Peru moto chini
napita malori na gari ndogo km yamesimama,
lakini muda wanaopanga kuwasilisha bado ni mdogo licha ya kuondoa usingizi mzigo unachelewa
nimepata mahali pa kkuondoa stress mkinikosa JF nipo ETS-2
 
KONGOLE Mkuu, sukrani sana sasa napasua barabara za Puno_Peru moto chini
napita malori na gari ndogo km yamesimama,
lakini muda wanaopanga kuwasilisha bado ni mdogo licha ya kuondoa usingizi mzigo unachelewa
nimepata mahali pa kkuondoa stress mkinikosa JF nipo ETS-2
Yaan uko Kama Mimi.
 
mambo yanazidi kuwa ni moto ndani ya puno peru
 
Attachments

  • ets2_20191114_083818_00.png
    ets2_20191114_083818_00.png
    849.2 KB · Views: 2
  • ets2_20191114_084004_00.png
    ets2_20191114_084004_00.png
    1.2 MB · Views: 3
ingelikuwa ni wewe hapa je ungepita {hapa kuna kona kumi na nne} na zote ni za aina moja
 
Attachments

  • ets2_20191114_075749_00.png
    ets2_20191114_075749_00.png
    831.2 KB · Views: 2
hapa kuanzia sandia,untuca mpaka sina kote ni theruji tupu.na ni milima mirefu mno bila kuwa na engine kubwa hupandi ng'o
 
Attachments

  • ets2_20191114_085736_00.png
    ets2_20191114_085736_00.png
    665.7 KB · Views: 3
Mwenye game la SCORE MATCH la android ambalo liko hacked msaada wakuu naomba link
Screenshot_2019-11-15-09-23-00-093_com.firsttouchgames.smp.jpeg
 
View attachment 1262786
nimeipenda hiyo ya kula mkambi/mweleka, hapo ingia Game play kakaze stifness ya suspension, Trailer na Truck lenyewe, hapo halitayumba, na ukifika kwenye mawe na corrugation legeza tena suspension,
yaani Damage ni nyingi, yupo Member The coolest jw post #887 alisema kuna Mod ya No Damage tungeipata hiyo Puno Peru tungeshinda
mi ninayo NO DAMAGE MOD yan ni bata tuu
 
Back
Top Bottom