Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

mi nnayo ambayo ina mods za african road(north africa- Egpty ,morocco,libya) tayari ...bonge la game and very nice kwa kutuliza mind..my favourite!
Kwa wale watakaoweza:
Game latest nimedownload hapa: kat.cr -&nbspRessources et information concernant Watch movies online Resources and Information.
Na map mod yenye african roads(north africa sanasana) inayofanya kazi nimedownload hapa: TruckSimMap 6.1.1 for patch 1.21.x
hii site ya map kuna mods nyingine za trucks kibao tu

Karibu Mkuu km lipo tushushie ingawa hii ilikuwa mwaka 2015 version ya 1.21.x na leo tupo 1.36 kwenda 1.37
 
Mkuu hii Zip nimeifungua nikaitupia My Document - ETS-Mods imeenda kukataa ikafika mafaili ma3 nakosea wapi kwenda Indonesia?
Nenda kwenye Map copy ICRF Reworked Map For 1.36.scs
and paste kule kwenye mod file la ets2 kazi kwisha achana na Profile

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Nenda kwenye Map copy ICRF Reworked Map For 1.36.scs
and paste kule kwenye mod file la ets2 kazi kwisha achana na Profile
Mkuu tatizo huenda likawa hiyo Map ni ya 1.36 ndio maana mm inanigomea maana bado natumia 1.35
au sababu itakuwa ni ipi maana ramani inakuja ya Ulaya km kawaida
au niendelee tu
 
Mkuu tatizo huenda likawa hiyo Map ni ya 1.36 ndio maana mm inanigomea maana bado natumia 1.35
au sababu itakuwa ni ipi maana ramani inakuja ya Ulaya km kawaida
au niendelee tu
Ah basi ni version uliyonayo.... Panda mpaka 1.36 tatizo lako litakuwa sloved
 
Ukwaju 1.35 unafanya nn uko

Haya chukua hii ya 1.35

ICRF RELOADED V 0.1 (1.35) | ETS2 mods

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nahitaji msaada kuhusu game la euro truck simulator 2, nimedownload version 2.v.1.35 ila linagoma kabisa
properties za pc ni hizo hapo chini na message inayokuja pia nimeambatanisha
20200422_094129.jpg
20200422_093937.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laki 3.5 hadi 6

Gamestoptz wanazo waweza kuwacheki instagram.
Kuna mwana alikuwa anataka niuzia 100 sema dah nilikuwa nimechoka kishezi hiyo siku siku nyingne nimemfata kakataa kuniuzia na yeye anadai hiyo siku alikuwa na shida kishezi yaan alijuwa anauza afanyaje tu yaan akadai hiyo siku hata ningempa hata 50 angekubali
Sema nini mademu sio watu poa aisee unaweza uza hata Kipc chako kisa demu story alonipa jamaa 7bu ya kuuza ilinichekesha sana

Viumbe hao sio wakucheka nayo

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Hapo mkuu shida ya hyo map hata mim mara ya kwanza iligoma..anatakiwa aextract pemben kisha ndan atapata scs file ndio anaiweka kweny mod kule...aachane na ku extract direct kweny folder la mod
Ukwaju file halikumalizaku download internet ilishake
Download upya kisha anza upya itakubari

Lkn pia download hii winrar latest
WinRAR download free and support: Download

Au kama vp tupia hichi PERU DEATH ROAD 1. 36 kina mb 4 tu wala hakiko ziped lkn matata sana

Download peru death road scs

Nimewaelewa ila kwa muda huu ile Setup ya 1.36 ili iingie imenibidi niliondoe Game lote la version ya 1.35
sasa kurudi uwanjani siwezi kwani sina ETS yoyote mpaka 1.36 ikubali nio nahangaika hapo
hiyo Mod ya Peru Death nilishaicheza yote labda nikiingia 1.36 nitairudia
 
Back
Top Bottom