Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
ninyi mnazungumzia mwezini kupeleka madude 1.36 kwenda 1.37
wakati sisi tupo bongo na 1.35 (mm nimepiga chini nimeanza kudownload lile la Torrent la 7.1GB la 1.36
speed ni ndogo nashusha na Airtel tangua jana jioni hata nusu asubuhi hii haijafika
Terrent nzito naona antivirus inapambana