Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Njoo russia babu kumenoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa Mkuu kcamp hivi hizo Game za Russia zinaingia 1.37? hebu niwekee link au niInstal lile la nyuma la 1.36
kuna Graphic Drive nimekosa nazipataje maana ulishaziweka nimetafuta sizioni
Mambo yote 1.37 ni sawa kabisa na Version za nyuma km 1.35
huku vioo havishuki labda kuna Mods yake nataka niwapitie jamaa niwapakie kwenye Volvo langu sijui km wapo tayari
 
Nakuelewa Mkuu hivihizo Game za Russia zinaingia 1.37? hebu niwekee link au niInstal lile la nyuma la 1.36

😂 😂 😂 😂
 
Russia tupo 1.36 ,1.37 bado mkuu

Graphics si u update kweny device manager mkuu

Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
 
😂 😂 😂 russia ninasikia nishida ni baraa mi mwenyewe hapa nilikuwa nina huo mpango but IDM INAZINGUA.
mm hao wahindi wa IDM siwataki kabisa
Download ikiwa kubwa wanakunasa mpaka ulipie na bundle likikata, sms, au simu ikiingia tu na yenyewe inaanza upya, bora uwe na line ya kushusha magame lkn wapi
ngoja kcamp anipe halafu niingize 1.37
 
Idm haizingui...wanazingua sharemods wale walio shikilia files...link Yao haisuport resume capability

Nilitoa link ya yandex mbona yenyew idm ina resume fresh tu

Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
 
JAMENI NAJALIBU SIJUI NITAWEZA😉😉
 
Attachments

  • ets2_20200513_124604_00.png
    ets2_20200513_124604_00.png
    1.3 MB · Views: 2
  • ets2_20200513_124604_00.png
    ets2_20200513_124604_00.png
    1.3 MB · Views: 1
Wadau keyboard zangu hazikubari,kuangalia map na kuweka site mirror
Hata kuenda garage
Ila nkiquit game nkibonyeza zinafanya Kaz,kunaaliewah kupat shida h

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimejitahidi kwa HALOTEL niliweka kabisa bundle 6GB na zilikuwepo nyingine
nimeshusha kufika 4.9GB likakata nimeongezea bundle limegoma kuResume limeanza mwanzo 0 KB
ngoja nilitafutie usikuwa wake maalum iwe night to night
daah ukikamilisha hiyo rusia ni tag mkuu
 
Back
Top Bottom