Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Msaada nimeinstall eurotruck simulator 2 lakin nikifungua inaniletea hivi
20210810_112939.jpg
 
Ebwana kama ulicheza map ya Hundolandia..basi hii.kiboko....

Pakueni...1.36 hadi 1.41 inasupport

 
Jmaa zangu kuna pc hapa
Ni hp yakizamani kidogo
Ina 2gb Ram na hdd 400
Ila uki install game inaingia ila ukifungua inasema steam stopes
Nkajalib kuifuta kama wanavyoelekeza youtube bado imegoma sasa sijui issue n graphics au aje
Naomba msaada
[mention]kcamp [/mention] [mention]kata shime officiar [/mention] na wengineo
 
Back
Top Bottom