Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Latest version link updated kweny uzi
 

Attachments

  • gpu.jpg
    gpu.jpg
    8.9 KB · Views: 22
Wakuu nikisomaga comment zenu naona mnafaidi sana,naomba kuuliza kama nikiwa na app ya PSP naweza kulicheza hili gemu kwa simu na kama inawezekana tupeane Links nasisi tufurahie Safar
Hauwezi cheza kwa simu zaidi ni PC tuu na computer za mezani zeli ziwe na ram kwubwa minimum gb 4 graphics gb4 processor ateleast 2.7mhz utaenjoy utamu mods za kumwaga futures za kama kweli yani niutamu tuu
 
Back
Top Bottom