Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Ukwaju mzee vipi,hatukuoni barabaran siku hizi
Mkuu ni kweli hawa jamaa baada ya kunidanganya ni install STEAM kwenye PC ndio wakawa wameninasa, kila kitu kilipotea magame yote ya ku crack hayakukubali, bado gharama ikapanda sana kuPlay au Download zao
je wenzangu mliendelea
inabidi nirudi kufuatilia nyuzi zenu huko back
1654952451212.png
 
TANGAZO! TANGAZO!
TANGAZO!
ni kwa mara nyingine tena napenda kuitambulisha kwenu wapenzi wa game la ets2 modification ya ramani mpya iitwayo

Map Tanzania

ramani hii inauhalisia wa barabara,pamoja na miji ya tanzania ikiwa na miji mikuu miwili ambayo ni
[1]IRINGA
[2]MOROGORO

Pamoja na miji midogo midogo ambayo ni
{1}bwawani
{2}mikuni
{3}mikese
{4}ilula

pia map hii inaweza kutumika kwenye convoy sababu inakubali murtplayer

Map tanzania imepimwa na kupitishwa na wataalamu wautengenezaji wa mod mbalimbali hapa tanzania ambao ni
#Lembukazi
#Hood aka hoodland
#elias Ets2
#Mane Ets2

ramani hii ni maalumu kwa game la euro truck simulator 2 kuanzia version 1.39 to 1.43

ikiwa utapendezwa au utaihitaji ramani hii tafadhari wasiliana kwa namba hii +255746831395

sina mengi zaidi ya kuhitaji support yenu ili kazi iendeleee
Game nalo lime stuckna game zikagoma zote baada ya kurudi STEAM
Nakumbuka uliniambia magame yao wamepandisha bei sasa kujiunga au kuyacheza nikakata tamaa
nisaidie narudije kwani yanagoma hata kuinstall au ni delete STEAM?
 
Mkuu ni kweli hawa jamaa baada ya kunidanganya ni install STEAM kwenye PC ndio wakawa wameninasa, kila kitu kilipotea magame yote ya ku crack hayakukubali, bado gharama ikapanda sana kuPlay au Download zao
je wenzangu mliendelea
inabidi nirudi kufuatilia nyuzi zenu huko backView attachment 2257402
Aisee rudi crack kumenoga sana
 
Niko namalizia roextended apa kisha niende pro mods maana wao ndo wana faili zenye gb nyingi yani gb 3 kisha ndo nije pro mods uko nimalizeo rus map kisha southern region na map nyingine
 
Alooh hii MAZ ya mrusi hatari sana 🔥🔥🔥🔥,huu mlima Scania, Volvo,Man,IVeco,Benz,zote ziliechemka kupanda na mzigo hapa,ila Hili dude la Putin likaja panda kiulani sana 😂
 

Attachments

  • ets2_20220622_200031_00.png
    ets2_20220622_200031_00.png
    460.7 KB · Views: 22
  • ets2_20220622_200037_00.png
    ets2_20220622_200037_00.png
    421.7 KB · Views: 25
  • ets2_20220622_200042_00.png
    ets2_20220622_200042_00.png
    431.7 KB · Views: 20
  • ets2_20220622_200011_00.png
    ets2_20220622_200011_00.png
    465.3 KB · Views: 25
  • ets2_20220622_195958_00.png
    ets2_20220622_195958_00.png
    388.8 KB · Views: 24
  • ets2_20220622_195947_00.png
    ets2_20220622_195947_00.png
    408.8 KB · Views: 23
Ulikua unanunua nn hapa
Mkuu ninunue tena steam $ 4.99 au niingie kwemye crack?
maana hapo juu massawepb katuwekea link ya 3 Gb na mm nina Steam niliinunua na ni member, usikute ndio wananibana ni si play game
Msaada tutani jamani Massawe
 
Mkuu ninunue tena steam $ 4.99 au niingie kwemye crack?
maana hapo juu massawepb katuwekea link ya 3 Gb na mm nina Steam niliinunua na ni member, usikute ndio wananibana ni si play game
Msaada tutani jamani Massawe
Steam ww sindo uliwalalamikia juzi,njoo crack tu tule maisha ya mods[emoji2]
 
Back
Top Bottom