Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Mwez sasa unaelekea kuisha sijapata mdau wa rock city
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwez sasa unaelekea kuisha sijapata mdau wa rock city
Basi we unga bando tu mkuu upakue mwenyewMwez sasa unaelekea kuisha sijapata mdau wa rock city
Bundle kama la GB ngapi boss
Nyingi sana mkuu,latest version ya game tu ni gb 15, hapo bado mods,mapsBundle kama la GB ngapi boss
Za kuanzia 20 zinatoshaBundle kama la GB ngapi boss
Ukiachana na latest version..version ipi ya nyuma ni nzuri pia
Version 1.40Ukiachana na latest version..version ipi ya nyuma ni nzuri pia
Mkuu mbona upo mbali sana..1.36 sio poaMwenye mod za magari madogo kwa version ya 1.36 hiyo ya kwanza kwenye link alizoweka mkuu kcamp anisaidie link asee[emoji120]
Naona hii ndo inatulia kwangu kutokana na specifications
Mkuu hata mm nilikua off the grid kidgo,ila nafkr vipya vitakuepo tu...itabid tusaka mda tuchungulie machimbonWahuni da nimepotea wakuu uku kuna kipinkipya kcamp
Sema mzee mm nisha shusha 1.46Mkuu hata mm nilikua off the grid kidgo,ila nafkr vipya vitakuepo tu...itabid tusaka mda tuchungulie machimbon
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Nyie wa simu nendeni Fb mtafuteni jamaa mmoja anajiita maleo huyu ndo anasumbua anga za simu anazo mpk map za tz na bus za hapa bongo kwanzia akina machame ivn na shabby na wengine kibaoMkuu, unataka kusema hili game ni maalumu kwa wenye PC pekee? Sisi wenye simu za android inakuwaje sasa?
Hivi hio 1.46 kwenye processor 2.5GHZ na ram 2 itacheza kweliSema mzee mm nisha shusha 1.46
Promods, roextended, rus map zote tayari
EwaaTumepoa Sana leo nimekuta ndege imepata ajali lami View attachment 2476193
Wanadai zinacheza kwanzia 1.39 kwenda mbele ila nadhani wapo watu wapo nazo wanauzaJaman hebu mtupe izi ramani za tz na mabasi yake kumbe zipogoView attachment 2490745