Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Hii game huwa naipenda sanaNikamfuma mwamba nae kapack kichwa ya semi wakati nafikisha kazi kwa bossView attachment 2497944View attachment 2497945
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii game huwa naipenda sanaNikamfuma mwamba nae kapack kichwa ya semi wakati nafikisha kazi kwa bossView attachment 2497944View attachment 2497945
Wanadai zinacheza kwanzia 1.39 kwenda mbele ila nadhani wapo watu wapo nazo wanauza
Mzee umetishaSema mzee mm nisha shusha 1.46
Promods, roextended, rus map zote tayari
Hyo dege ukute ni Ukwaju [emoji23]Tumepoa Sana leo nimekuta ndege imepata ajali lami View attachment 2476193
Anauza jamaaJaman hebu mtupe izi ramani za tz na mabasi yake kumbe zipogoView attachment 2490745
Sisi wa simu tutapataje hizi burudaniUnakua unaendesh buss
Au truck za kawaida ila unapishana nazo
Nani uyo anauza, na anauza sh ngp.
Nenda play store pakua Maleo bus simulator Indonesia.
ni kweli Mkuu nilipotea karibia mwaka sasa, na sijui mmefikia wapi, PC yangu waliikwapua vibaka
Mkuu asante kwa ushauri, Steam wamenibana hadi leo nililipia hata nlipopata PC nikawaona hao, naona ni address zangu, ipo local C naona ndio sababu nikaichukia,Mwambie atafute repack aziweke mafaili tofauti na steam na aside asiweke kwenye Loc disk c atofautishe aweke kwenye portion nyingine za tofauti
Nahitaji na mm nicheze online nafanyaje na ni version ipi inahitajika na niwe naweka bandle ya sh ngp kwa cku.ni kweli Mkuu nilipotea karibia mwaka sasa, na sijui mmefikia wapi, PC yangu waliikwapua vibaka
Buss la kuendesha au traffic pack?Naomba mod ya mabasi wakuu v 1.43.
La kuendesha mkuu
Hizo bus zinauzwaaLa kuendesha mkuu
Na wauzaji wako humu humu ndani ila wamejificha Kwa id fekiHizo bus zinauzwaa