Fahamu jinsi ya kujua jinsi (sex) ya mtoto tumboni bila ultrasound

Sasa hapa mbona ni kitu kile kile kwa wa kiume na wa kike?
 
Asante mkuu, ila kuliko tabu zote hizi au ni bora ultrasound
 
Asante Sana,nimejifunza kitu
 
Mke wangu katokewa na chunusi nyingi sana usoni.. na hii ni mimba ya pili.. Ya kwanza hakuwa n hayo machunusi.

Halafu sasahivi hana mzuka sana na sex tofauti na mimba ya kwanza.. hapo vip ni kwanini?
 
Kuna wengine wakiwa na mimba hawapendi sex kabisa na kuna wengine wanataka sex muda wote naweza kukupigia simu mchana kuwa anashida anahitaji msaada wa haraka ukaacha kazi zako na kukukmbilia nyumbani unamkuta kitandani.
Kabisa aiseee uwiii nilikuwa sitaki kusikia hii kitu hata akinigusaa natamani kumpiga.
 
From my experience na wamama wajawazito for 15 years yaani since 2008 mpaka leo 2023 ambapo per day nakutana na wajawazito siyo chini ya 10, hivyo ni vitu vya kufikirika maana the same features huwa zipo kwa sex zote...

In-short it's just a SCAM kwasababu predicting something ambayo iko 50% to happen is easy,,,
 
chinese calendar ndio baba lao yan hio ni ukweli kabisaa wewe google mwaka uliopo kuangalia calenda ya kichina inakutabiria nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…