Fahamu jinsi ya kujua jinsi (sex) ya mtoto tumboni bila ultrasound

Fahamu jinsi ya kujua jinsi (sex) ya mtoto tumboni bila ultrasound

From my experience na wamama wajawazito for 15 years yaani since 2008 mpaka leo 2023 ambapo per day nakutana na wajawazito siyo chini ya 10, hivyo ni vitu vya kufikirika maana the same features huwa zipo kwa sex zote...

In-short it's just a SCAM kwasababu predicting something ambayo iko 50% to happen is easy,,,
Sawa Dr mabala
 
Mke wangu katokewa na chunusi nyingi sana usoni.. na hii ni mimba ya pili.. Ya kwanza hakuwa n hayo machunusi.

Halafu sasahivi hana mzuka sana na sex tofauti na mimba ya kwanza.. hapo vip ni kwanini?
Mkuu mimba ya kwanza alijifungua mtoto gani shemeji. Na hiyo ya pili alipata mtoto gani pia..
 
chinese calendar ndio baba lao yan hio ni ukweli kabisaa wewe google mwaka uliopo kuangalia calenda ya kichina inakutabiria nn
Vipi tangu umeanza kitumia imekuletea matokeo mazuri hii chinese lunar calendar..
 
Mtoto akiwa anapenda kuchezea upande wa kushoto ni wa kike na upande wa kulia mwa tumbo la mama ni wa kiume
 
Back
Top Bottom