Fahamu jinsi ya kujua jinsi (sex) ya mtoto tumboni bila ultrasound

Sawa Dr mabala
 
Mke wangu katokewa na chunusi nyingi sana usoni.. na hii ni mimba ya pili.. Ya kwanza hakuwa n hayo machunusi.

Halafu sasahivi hana mzuka sana na sex tofauti na mimba ya kwanza.. hapo vip ni kwanini?
Mkuu mimba ya kwanza alijifungua mtoto gani shemeji. Na hiyo ya pili alipata mtoto gani pia..
 
chinese calendar ndio baba lao yan hio ni ukweli kabisaa wewe google mwaka uliopo kuangalia calenda ya kichina inakutabiria nn
Vipi tangu umeanza kitumia imekuletea matokeo mazuri hii chinese lunar calendar..
 
Mtoto akiwa anapenda kuchezea upande wa kushoto ni wa kike na upande wa kulia mwa tumbo la mama ni wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…