Umbuju Member Joined Jan 27, 2019 Posts 79 Reaction score 78 Jan 27, 2019 #1 Wapendwa habari zenu jamani, Kwa mtu anayetarajia kufungua duka la vipodozi ningependa kupata suggestions za majina mazuriyanayofaa kutumika kwenye duka la vipodozi.. Kama si hivyo naomba kwa mwenye uelewa atuambie ni njia zipi zinatumika kupata jina zuri la kibiashara.. Karibuni san kwa michango
Wapendwa habari zenu jamani, Kwa mtu anayetarajia kufungua duka la vipodozi ningependa kupata suggestions za majina mazuriyanayofaa kutumika kwenye duka la vipodozi.. Kama si hivyo naomba kwa mwenye uelewa atuambie ni njia zipi zinatumika kupata jina zuri la kibiashara.. Karibuni san kwa michango
Africa Tanzania JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 1,504 Reaction score 2,272 Jan 27, 2019 #2 Tulia uandike vizuri....Ulichofanya ni kama kachumbari[emoji23][emoji23][emoji23]......anyway Subiri waje mkuu [emoji124][emoji124][emoji124] Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia uandike vizuri....Ulichofanya ni kama kachumbari[emoji23][emoji23][emoji23]......anyway Subiri waje mkuu [emoji124][emoji124][emoji124] Sent using Jamii Forums mobile app
Umbuju Member Joined Jan 27, 2019 Posts 79 Reaction score 78 Jan 27, 2019 Thread starter #3 Africa Tanzania said: Tulia uandike vizuri....Ulichofanya ni kama kachumbari[emoji23][emoji23][emoji23]......anyway Subiri waje mkuu [emoji124][emoji124][emoji124] Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mambo ni mengi ndugu, Hebu tupia kajina kokote kanakohusiana na mambo ya vipodozi mweehh
Africa Tanzania said: Tulia uandike vizuri....Ulichofanya ni kama kachumbari[emoji23][emoji23][emoji23]......anyway Subiri waje mkuu [emoji124][emoji124][emoji124] Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mambo ni mengi ndugu, Hebu tupia kajina kokote kanakohusiana na mambo ya vipodozi mweehh
F Fundi_Mjasiriamali JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 748 Reaction score 1,340 Jan 27, 2019 #4 Una haraka za kukimbilia wapi mkuu??? Acha papara tulia uandike ulichokusudia Sent using Jamii Forums mobile app
Una haraka za kukimbilia wapi mkuu??? Acha papara tulia uandike ulichokusudia Sent using Jamii Forums mobile app
Damy Scotty JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 717 Reaction score 454 Jan 27, 2019 #5 Beauty Hub au Beauty Point.. Sent using iPhone XS Max
nessonlegend JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 1,698 Reaction score 1,512 Jan 27, 2019 #6 Heading na content ni uislamu na ukristo Sent using Jamii Forums mobile app